Lyrics

DON SANTO - SAIDA

DON SANTO performing SAIDA. This is a Kalpop song about a beautiful woman named Saida whose feet 'a dog has licked.'

Produced by: Blame It On Don
Record Label: Klassik Nation
Promoted by: Songbad Music
All Rights Reserved

CHORUS
Eh Saida niambie;
Kwa nini una manga manga?
Eeh Saida niambie;
Kwa nini una manga manga?
Kwa nini una manga manga?
Acha kumanga 7: manga :7 daily;
Kwa nini una manga manga?

STANZA ONE
There comes a time in life;
Mwanamme lazima awe na wife
Hata ujaribu kuwa na girlfriend;
Unapata umeliwa by month end
Mke wako kule nyumbani;
Utarudi kwake nyumbani
Huna budi umuoneshe mapenzi;
Uachane na wale wa kando
Sasa wewe Saida mami;
Mbona unapenda kuwa chips funga?
Una watoto fogo kama mtama;
Ila bado wewe wajikaranga!
Sasa wewe Saida mami;
Mbona unapеnda kuwa chips funga?
Una watoto fogo kama mtama;
Ila wewe bado wewе wajikaranga!

CHORUS
Kwa nini una manga manga?
Eh Saida! Saida mama!
Kwa nini una manga manga?
Mbona wewe 3: mami :3 unamanga manga kila day?
Kwa nini una manga manga?
Eeh Saida! Saida!
Kwa nini una manga manga?

INSTRUMENTAL BRIDGE

STANZA TWO
Saida yule yule patikana na boda boda!
Saida yule tena ameshikwa na MCA!
Saida yule yule ametiwa mimba na nani!
Saida huyu huyu amepigwa sokoni kule!
Saida yule tena anenguwa kiuno pale! (Whistle)
Saida tena nini wabadili rangi ya mwili?
Unalamba moto, utakuja chomwa;
We Saida unalamba moto, utakuja chomwa

CHORUS
OUTRO THEN CHORUS TO FADE

More DON SANTO

DON SANTO - NAOGOPA x TALK ABOUT LOVE | Lyrics
VERSE 1 : Mapenzi chenga Yakikupiga unasurrender Na wengi wakipendwa Wanasahau kuna kutendwa: Wapi mkandarasi wa moyo Wa ukuta wa mapenzi unadondoka Kinacho ponza

DON SANTO - PHANTASMAGORICAL | Lyrics
VERSE 1 You've got your ball; You've got your chain; Tied to me tie me up again Nani ana claws; In you my friend; Moyoni mwangu I'll beat again Sweet

DON SANTO - HALLELUYA! | Lyrics
{Chorus 1} Halleluiah! Halleluiah! Halleluiah! O Lord my God I wanna say thank you X2 {Verse 1} I never knew how amazing your word is Not until

DON SANTO - REMEMBER | Lyrics
"If you can remember me, I will be with you always.” - DON SANTO ARTISTE: DON SANTO SONG: REMEMBER ALBUM: DEFINITION OF THE BADMAN KILLA 1 GENRE: KALPOP RECORD

DON SANTO - Who's the Badman Killa? | Lyrics
Verse 1: Mbiu ya mgambo ikilia kuna jambo {iye}; Ukiona zimeweza jua basi ni za santo, {iye}; Na juu nishakupata, nami hujanipata; Najua moyo wako unadunda

DON SANTO - Who Is The Badman Killa? | Lyrics
"ignore rumours about whose throne this is. can't the badman killa go out to pee in peace? come on ye desperados. i am very comfortable with conflict, be it of the legal or mortal kind. my

DON SANTO - SAIDA | Lyrics
DON SANTO performing SAIDA. This is a Kalpop song about a beautiful woman named Saida whose feet 'a dog has licked.' Produced by: Blame It On Don Record Label: Klassik

DON SANTO - KLASSIK TOWN | Lyrics
Just think about it, life in Klassik Town, Life in Klassik town STANZA ONE She calls out to the man on the street Sir, can you help me? It's cold and I've no place

DON SANTO - Athman Khamis Wangara | Lyrics
Papa santo; the one and only Papa santo; The badman killa mia mia! Stanza one (0:14) Mwami ocb; Sioni mfano wako kamwe; We ndio busy bee; Hukosi kwa kila

DON SANTO - KALPOP SPELL | Lyrics
...It's all I need! I feel free! So damn free! Santic free! CHORUS : Kalpop juice; : : Kalpop love; : Is all that I need! Udididadadei, any other day,

DON SANTO