Тексты Иностранных Песен

Just A Band - Dunia Ina Mambo

0

Oh oh
Dunia ina mambo bana
Usishangae sana, sana
Tena sana, sana (eh ehe eh)
Hata mimi nashanga bana
(Hata mimi ( nashanga bana x2)
Ukiniona waniona na aibu sana,
Wasee wangu kwa mtaa wanawika bana,
Siku hizi naogopa kuomba bwana,
Juu hata mifuko za wakora zaibaangwa sana,
Walinipa uongo nami nikakubali nikamfuata nyuki,
Nikalimwa na asali,
Weka tumbo mbele wacha akili nyuma,
Maiti kavalia,
Walisema sikuskia, oo
Mama na baba walinighusia ewe kijana,
Kuwa mwanangu jionee
Dunia ina mambo
Yao sikuyasikiza,
sasa mimi najuta,
Kweli najionea,
Dunia ina mambo
Hey

Chorus
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo sana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo ooo

Nafunga bao,
Niite pita dao,
Ubaya ya binadamu
Ni rahisi kusahau,
Changu ni chetu,
Lakini Chako ni chako,
Mtu wangu ah aah wacha vako,
Marafiki wamekuwa manafiki bana,
Najionea tena kushangaa sana
Niliacha kuwa mjinga, (nini)
Ati sasa najiringa,
Ukistaajabu ya Musa ya Firauni bado

Walinambia kijana,
Jihadhari na 'limwengu
Hao walimwengu si wazuri kwako kijana,
Yao sikuyasikiza,
Sasa mimi najuta
Kweli najionea,
Dunia ina mambo
Hey

Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo sana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo ooo

Ukiwa nao leo marafiki ni wengi sana
Watakusifu -oo wewe kijana mzuri
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
Ukiwa hunawo wengi wanakukimbia
Na mengi kusema wewe kijana mbaya
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo)

Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo sana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo
(Dunia ina mambo bana)
Dunia ina mambo oo
Dunia ina mambo

Dunia ina mambo ooo oooo wo wo wo wo wo wo
Dunia ina mambooo
Dunia ina mambo
Dunia ina mamboo
Ah aah aaah
Ah aah aaah


 Изменить 
Копировать

YouTube

 Изменить 

Ещё Just A Band

Just A Band - Looking For Home | Текст Иностранной Песни
I-a-a- am looking for my home Somewhere I can take a break Somewhere in the sky-yy I-a-a Somewhere on the road This is gonna take a while Looking for my own

Just A Band - Bye Bye | Текст Иностранной Песни
Mimi sijui sielewi kama hun'taki basi tuseme bye bye Mimi sijui sielewi kama hun'taki basi tuseme bye bye Sitaki useme wee waniaacha ahhh Sijioni bila wewe Pole

Just A Band - Funky Fine Beautiful | Текст Иностранной Песни
This is more than it seems This is more than it seems This is more than it seems This is more than it seems This is more than it seems This is more than it

Just A Band - Tingiza Kichwa | Текст Иностранной Песни
Bmm cha x 6 Tingiza kichwa kidogo (kidogox4) x17 Female singing: Tingiza kichwa kidogo (kidogox3) x4 Tunafanya namna hii x4 Male Singing: Tingiza kichwa kidogo kidogo x2

Just A Band - Kaa Ridho | Текст Иностранной Песни
Kaa ridho Kaa chonjo Hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa Kaa ridho Kaa chonjo Hapana kaa tuu-kaa tuu kaa tuu fwaa Kawaida niko macho ka mbwa ya Osama

Just A Band - Ha He | Текст Иностранной Песни
Microphone check one, one two (Musyoka) Ukiwasha nare Mathare 'taonja vibare Mi si mnati, si Barbie, niko tu katikati Staki kuskiza story za charity, charity Nipe wings

Just A Band - Fly | Текст Иностранной Песни
I will fly away, and you're gonna see me no more I will fly away, and you're gonna see me no more I will fly away, and you're gonna see me no more I will fly

Just A Band - Extra | Текст Иностранной Песни
Extra, Extra Extra, Extra Tired of being less than you I can do much better than you Doesn't matter what it takes I don't care so much at stake Cut it snip

Just A Band - Twende Kazi | Текст Иностранной Песни
Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi No Jokes No Jokes No Jokes No Jokes Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi Twende Kazi No jokes no jokes no jokes no jokes aah

Just A Band - Migingo Express | Текст Иностранной Песни
Yo Yo Oyoo Oyoo Yo Yo Oyoo Yo Yo Oyoo Oyoo Yo Yo Oyoo Yo Yo Oyoo Ooo Yo Yo Oyoo Yo Yo Oyoo Oyoo Yo Yo Oyoo Migingo to mano marwa kata uwache

Фото Just A Band

 Изменить 
Just A Band

Just A Band - Биография

 Изменить