Lyrics

DON SANTO - KUPE

1
original text at mamqa.com/ulyricsnew/don-santo-kupe-958701
Intro
CHORUS
: Walahi hakai tapeli hodari :
: Mdomoni ni tende, kumbe ni kupe :

VERSE 1
Huko mjini kuna mambo, unavyoona kumbe sivyo
Wenye suti majambazi, na magari ya kifahari
Kwa hivyo jichunge mwenzangu, waeza poteza mengi
Kwa hivyo jichunge mwenzangu, waeza poteza vyote

CHORUS
: Walahi hakai tapeli hodari :
: Mdomoni ni tende, kumbe ni kupe :

VERSE 2
Leta pesa tutaifanya double, triple hata mara kumi unavyotaka, utapata;
Na kumbe kile wanachokita sana ni kukubwaga;
Hao x3 – ni wezi kupindukia;
I know x 3 – ni ngumu kuwatambua
Akija na story, jipange pange; Akija na vako, mrushe rushe
CHORUS
: Walahi hakai tapeli hodari :
: Mdomoni ni tende, kumbe ni kupe :

VERSE 3
T’t’take care, mjini huwaga na wahuni;
Utadhani muhubiri wa neno la Mungu, kumbe ni broker na kahaba
“Bibilia inasema (kunja mdomo hivi x2) halafu nitawaambia wapande mbegu”
Acha ukora yeye yeye yeyee, Hahahahahahahaha shame on you!

CHORUS
: Walahi hakai tapeli hodari :
: Mdomoni ni tende, kumbe ni kupe :
 Edit 
Copy

YouTube

 Edit 

More DON SANTO

DON SANTO - NISHIKILIE | Lyrics
AYA YA KWANZA Nishike mkono na utembee na Mimi Hapa ndipo mahali ulipotakiwa kuwa Nimekuona ukiwa na huzuni Nimekuona ukiwa na maumivu Kutafuta popote kupata chochote

DON SANTO - Arciah Anyanga Wangara | Lyrics
STANZA ONE Kama kuna mtu mwema, si mwengine; Ila wewe Arciah eh Wangara; Na mipango ya Mola ni mengine; Na sasa upo ahera ah mama Ulicheza Santo, Franco sawa na

DON SANTO - USHUHUDA | Lyrics
Psalms 66:16 - Come and hear, all ye that fear God, and I will declare what he hath done for my soul STANZA ONE Perhaps the World Ends Here tomorrow, oooh; But When Giving Is All

DON SANTO - BARUA KWA MUNGU | Lyrics
BARUA KWA MUNGU (A letter to God), just like most of the song in the Calvary EP, is a song that I wrote at a critical time of my life. I hope the words of this song and the energy the CALVARY PROJECT

DON SANTO - KENYAN GIRL | Lyrics
STANZA ONE Pretty gal, in my life you’re my melodies; Turn around, lemme inspect my things; Baby gal, Your laughter tickles butterflies I heard that thick thighs save lives!

DON SANTO - YOU SAVED ME | Lyrics
Beyond i and i's reach of sin...you saved my soul! Just when i needed you, you came You came and set me free! Just when i needed you, you came Oh my god! (it’s i and i,

DON SANTO - Mtukufu Lies | Lyrics
SLEEK WHIZZ You’re preaching water but you wining Tukae njaa but you dining Zakayo! Zakayo! Come down the tree This is the time to see! Zakayo! Zakayo! (Mr. Tax

DON SANTO - Queen of the South | Lyrics
(Chorus) Oh, Queen of the South! Hizi street ku-noma; But mi Don of the streets! Na mambaru wako radar, soko ime- danger Oh, Queen of the South! (Verse 1) I

DON SANTO - Blame It On Don | Lyrics
Category: Humorous Tribute Poem Poem Description: "Blame It on Don" is a witty and creative poem paying homage to an individual known for their prowess in music, creativity,

DON SANTO - Dear Tupac Shakur: A Letter from the Heart | Lyrics
Dear Tupac Shakur, I'm writing you a letter Your rhymes and wisdom, they couldn't get much better You had the West Coast blazing, your words were like fire A lyrical genius,

Photo DON SANTO

 Edit 
DON SANTO

DON SANTO - Biography

 Edit