Lyrics

Femi One - Nyokonyoko

0
original text at mamqa.com/ulyricsnew/femi-one-nyokonyoko-1392292
Ero unanisoma ju nina rungu ya jamii
Hapo si unajua nakuchorea mami
Hakuna haja ya cancer hapa moshi ni manduku
Tupu nazitoka bana za athuthu
Si hapo ukinitoka nyokonyoko(Nyokonyoko)
Ju hapo ukining'ora ni mamboko(Ni mamboko)
Morio ukining'ora nyokonyoko(Nyokonyoko)
Juu hapa ukining'ora ni mangoto(Ni mangoto)
Nyokonyoko, Nyokonyoko wooah
Nyokonyoko, Nyokonyoko weee
Nyokonyoko, Nyokonyoko Ngai
Nyokonyoko, Nyokonyoko weeh

Wanjiku amejipaka wanja
Jicho peptang juu ya kiganja
Macookie na makeki za kibanda
Na mifuko zimeshona tu na mabanda
Exhibit zimejificha kwa mbosho
Na marubber after kuchipo si ni kuthosho
Barter trade si nilifikaga na vidosho
Rombosaga maana kesho huku ni kegocho
Alafu X-ray mkiingia nawascan
Kikishika kikolo kipitishe what a gwan
Ka hukufunzwa buda na mathako utalearn
Mbogi inachachisha makombora za Saddam
Oya oya eeh, oya oya aah
Uber nganya pandisia bodaboda eeh
Muko local mi Busia bodaboda aah
Eti muko local mi Busia bodaboda eeh eeh eh
Si hapo ukinitoka nyokonyoko(Nyokonyoko)
Ju hapo ukining'ora ni mamboko(Ni mamboko)
Morio ukining'ora nyokonyoko(Nyokonyoko)
Juu hapa ukining'ora ni mangoto(Ni mangoto)
Nyokonyoko, Nyokonyoko wooah
Nyokonyoko, Nyokonyoko weee
Nyokonyoko, Nyokonyoko Ngai
Nyokonyoko, Nyokonyoko weeh
Ng'ora ng'ora nikucheze kama thing'oi
Ukiseswa ka umetokwa chungia nukia kinyoi
Nikulambi nikuchimbe mmh kama gefoi
Msupa afunge duka aende anireplace na kitoy
Ahh juu ya kutu si ameshika mbiro
Juu ya rungu si atatoka mbio
We ndio jiko na unachezea diro
Una maroll aii, mi nachezea kilo
Ju we ni smarta nitakuchezea kio
Nina ofisi kuja nikuweke C.E.O
Uko fifty mi nakuwekea kioo
Mwongozano, mtongozano mmmh
Mkutano nichezee bano mmmh
Niko bale, niko ngano mmmh
Nina ngori ka Kogalo mmmh
Si hapo ukinitoka nyokonyoko(Nyokonyoko)
Ju hapo ukining'ora ni mamboko(Ni mamboko)
Morio ukining'ora nyokonyoko(Nyokonyoko)
Juu hapa ukining'ora ni mangoto(Ni mangoto)
Nyokonyoko, Nyokonyoko wooah
Nyokonyoko, Nyokonyoko weee
Nyokonyoko, Nyokonyoko Ngai
Nyokonyoko, Nyokonyoko weeh
My girl ga, amegaragaza
Chora saba wacha mi nidare rasa
Shake legi seti tu kipasapasa
Mbogi ni ya Kangundo si ya kule gaza
Super kamba kila aina ya gengetoni
We ni kuonanga town mpekedoni
Dj Lyta anawakata kipema peponi
Na bado si wanatu dare na maingwe thoni
Aah, Odi jina kubwa kama turi ya Vera
Sidika walai huku nadai hela
Hii mboko si free ka za wale mafathela
Manjoti hadi utii nilikuwa kamagera
Pedi wangu huenda mjei mpaka Jericho
Na hizi ng'ango ni za wimbi za huko Mexico
Na pale Dago ndo mi huendea mapetco
Kando ya Pango ndo nilifinyaga Rachel
 Edit 
Copy

YouTube

 Edit 

More Femi One

Femi One - Hiyo One | Lyrics
Femi, Femi, Femi One Uno, Uno, Uno, Uno Hakuna mkate ngumu mbele ya chai Akili ni nywele zangu nilipaka dye More wananidai, Femi super duper fly Game iko A, X anaregret

Femi One - Okay | Lyrics
Verse 1 Usipunguze Joto wacha moto ifanye kazi Shuguli ka imejipa piga Pamba pasi Rende kwa Senke ni mwendo kasi Ukipatikana rong side blanda basi Panga inapapasaa

Femi One - STAKI | Lyrics
{Intro} (Kaka Empire, is the lifestyle) Yeah Femi Uno Haah, yoh! {Chorus: Domani Mkadinali, Femi One, Both} Hii clique ni ya wanati (skrr

Femi One - QUEEN'S SPEECH | Lyrics
Moment of silence..(ssshh) Malkia anabonga ni queen speech Wengi wametry kunilink nko busy nadinya the game with a big dick Femi One; Moment of silence..(ssshh)

Femi One - HESHMA | Lyrics
Heshma (heshma) heshma (heshma) heshma (heshma) heshma Ukiniona kwa street ni salut nipe heshma Femi juu ya beat si mnajua m'wezi mess na.. Verse 1: 12 Bars:

Femi One - KULIA KUSHOTO | Lyrics
Verse 1: Bidii na skill, kiTegla (huh) Lorupe, kismat ni extra Nshow vle unafeel, pretender (huh) Usishtuke, ndo stuff napenda Shipment kwa flight nshapokea

Femi One - SUSPECT | Lyrics
Mmh aah yeah.. suspect TV ikipotea kwa ploti si ndo masuspect Msupa ratchet, body form perfect Ukibonga viuduu utafungiwa ndani ya casket Mmh aah yeah.. suspect Bangi

Femi One - INTRO | Lyrics
Ukianza kushika mkwanja nd'o v'le enemies scheme Jina inajulikana n'ko kwa everything big Longevity, inaseem I'm ahead of these things Maisha'a-usanii ni toxic

Femi One - RAHISI | Lyrics
Verse: (Femi One) Naskia fununu chemi chemi za mitaa Wameshindwa kunihandle wanasema Femi'n star akuna news apa unoma mi inakwanga imenifaa.. Queen tangu Roma ichukue league

Femi One - EXCUSE MY FRENCH | Lyrics
VERSE 1: Yeah.. Waliona simba imenyeshewa wakadhania ni paka ya nyumba Ng'a! Wakamangwa dharura Saizi wamekaa kwa ambulance... {wiu! wiu! wiu!} Giggle

Photo Femi One

 Edit 
Femi One

Femi One - Biography

 Edit