Lyrics

DON SANTO - Athman Khamis Wangara

Papa santo; the one and only
Papa santo;
The badman killa mia mia!

Stanza one (0:14)
Mwami ocb;
Sioni mfano wako kamwe;
We ndio busy bee;
Hukosi kwa kila boma;
Msaada unawapa...
Athman wangara;
Kipenzi cha watu wote bane;
Huna maringo;
Hukosi kwa kila jiji;
Upendo unawapa...
And (around you x7) is always fun (fun) (haha);

Chorus (0:53)
Show them how to be free!
Waone utu wema
Teach us how to be free!
Tuwe mfano mwema

Stanza two (1:13)
Kuna ushuhuda tosha kwa maendeleo
Tajriba una sifa toka jana hadi leo
Omwana wa hamisi boyi you got my attention
Sholi nende ubaguzi you got affection
How are you?
How is home?
Huchoki kuyauliza
Chair matungu constituency;
Mwandishi wa “bwana ugali.”
And (around you x7) is always fun (fun) (haha);

Chorus (1:50)
Show them how to be free!
Waone utu wema
Teach us how to be free!
Tuwe mfano mwema

Stanza three (2:10)
: there ain’t many kind :
Klassik nation twende lote
Dunda na kalpop!
Osibisa, twende lo~te
Dunda na kalpop!
Oh mama, twende lo~te
Dunda na kalpop!
Kingpheezle, twende lo~te
Dunda na kalpop!
Nairobi city...
Dunda na kalpop!
Kule matungu, kakamega, aaah salamu kwenu
Dunda na kalpop!

Chorus (0:53)
Show them how to be free!
Waone utu wema
Teach us how to be free!
Tuwe mfano mwema

Outro
The wangaras, twende lote!
Dunda na kalpop!
Oh ye thou klassikans, twende lo~te!
Dunda na kalpop!

Sha! rhhhh
Ahaaa kabisa
Don santo natuma salamu kwake athman khamis wangara
Mheshimwa aliye tosha, mheshimiwa mtarajiwa!

More DON SANTO

DON SANTO - KALPOP SPELL | Lyrics
...It's all I need! I feel free! So damn free! Santic free! CHORUS : Kalpop juice; : : Kalpop love; : Is all that I need! Udididadadei, any other day,

DON SANTO - Cheers To The Girls! | Lyrics
I have melodies in my heart and my soul is burning and yearning to write something. This song, #CheersToTheGirls, I dedicate to my daughters and all the girls in my life INTRO

DON SANTO - FAMOUS | Lyrics
Intro... Chorus If i had your number, in my phonebook; Or hit me on my facebook; You’ll be famous! We soon having a meeting; In my bedroom; In the morning

DON SANTO - ACT RIGHT | Lyrics
“He/she was planning to rape me -" "Why would he/she ever -" "Because he/she knew he/she'd get away with it.” LYRICS CHORUS : He gonna rape;

DON SANTO - Famous This Christmas | Lyrics
Feliz Navidad Feliz Navidad Feliz Navidad Próspero año y felicidad Feliz Navidad Feliz Navidad Feliz Navidad Próspero año y felicidad I wanna wish you a

DON SANTO - AMILO | Lyrics
INTRO Oouh! Cha-cha chacha cha-cha… Bana ba Klassik banapendaga Kalpop music! STANZA ONE : Nyar Asembo Amilo Atieno, an awero nyingi… Gima nayudo kwomi nyako, wiya

DON SANTO - TABASAMU LANGU | Lyrics
Intro {Instrumentals } Chorus} : Moyoni mwangu, nina amani Ninayopata kwako Mpenzi wangu, usiende mbali You tabasamu langu. :

DON SANTO - SHE WANT ME | Lyrics
CHORUS She want me and; : She hotter than a sana! : Personality, shawty ana rada; Aye, shawty ana rada SLEEK WHIZZ Kana vibe she make sun look dull when she

DON SANTO - KUPE | Lyrics
Intro CHORUS : Walahi hakai tapeli hodari : : Mdomoni ni tende, kumbe ni kupe : VERSE 1 Huko mjini kuna mambo, unavyoona kumbe sivyo Wenye suti majambazi, na

DON SANTO - NISHIKILIE | Lyrics
AYA YA KWANZA Nishike mkono na utembee na Mimi Hapa ndipo mahali ulipotakiwa kuwa Nimekuona ukiwa na huzuni Nimekuona ukiwa na maumivu Kutafuta popote kupata chochote

DON SANTO