Lyrics

Lady Jay Dee - Tangu Mwanzo

0
original text at mamqa.com/ulyricsnew/lady-jay-dee-tangu-mwanzo-1812095
〈Chorus: Lady Jaydee and Both〉
Tangu mwanzo
Tangu mwanzo
Kisa kilicho pelekea, mambo yote kuvurugika
Visa tu vinajirudia, lakini kaa ukitambua
Hii ni tangu mwanzo
Oh-oh
Tangu mwanzo

〈Verse 1: Lady Jaydee〉
Ukichafua, usafishi
Ukiazima 'unachukua, haurudishi
Ukipewa uridhiki
Asante kusema hukumbuki
La-la, la-la
Oh, la-la, la-la

〈Verse 2〉
Na ukisema unarudisha, haurudishi
Inaenda moja kwa moja, kwa moja
Tangu mwanzo
(Tangu mwanzo)

〈Chorus: LadyJaydee and Both〉
Tangu mwanzo
Tangu mwanzo
Kisa kilicho pelekea, mambo yote kuvurugika
Visa tu vinajirudia, lakini kaa ukitambua
Hii ni tangu mwanzo
Oh-oh
Tangu mwanzo
〈Verse 3: Belle 9〉
Kumchunguza sana bata
Kushiba itakuwa stori
Hata kosa sio kosa, wataka niseme "sorry"
Unayaleta mpaka chumbani maisha ya Insta
Ndoa ni moyo huwezi kuweka filter
Kila siku vikao ni kama vita
Umebadilika
Ulivyo kolea, uliniuliza 'ufanye nini, nisikuache
Ukanipa sifa nyingi, 'nyingi eti kama mimi tuko wachache
Kuchelewa kurudi, marafiki zako wanashauri uniache

〈Chorus: Lady Jaydee and Both〉
Tangu mwanzo
Tangu mwanzo
Kisa kilicho pelekea, mambo yote kuvurugika
Visa tu vinajirudia, lakini kaa ukitambua
Hii ni tangu mwanzo
Oh-oh
Tangu mwanzo
 Edit 
Copy

YouTube

 Edit 

More Lady Jay Dee

Lady Jay Dee - Tangu Mwanzo | Lyrics
{Chorus: Lady Jaydee and Both} Tangu mwanzo Tangu mwanzo Kisa kilicho pelekea, mambo yote kuvurugika Visa tu vinajirudia, lakini kaa ukitambua Hii ni tangu

Lady Jay Dee - I Found Love | Lyrics
I found love I found love Haya sio mapenzi this is magic I found love I found love Hata kueleza siwezi, this is magic Hizo I love you I love you too Tushavuka

Lady Jay Dee - Siku Hazigandi | Lyrics
Mmmh... Aiya yah yah yah yah yaah {Chorus} Yote mlosema, mlotenda nasahau Nasonga mbele Mangapi Yamesemwa mangapi nimeona Mmmh mliosema, aaah

Photo Lady Jay Dee

 Edit 
Lady Jay Dee

Lady Jay Dee - Biography

 Edit