Lyrics

TID - Zeze

0
original text at mamqa.com/ulyricsnew/tid-zeze-1807291
(Instrumentals)

〈Chorus: T.I.D.〉
Kama wanipenda
Kaninunulie zeze
Nikilala kitandani
Zeze lanibembeleza
Kama wanipenda
Kaninunulie zeze
Nikilala kitandani
Zeze lanibembeleza

〈Verse 1: T.I.D.〉
Mateso moyoni
(Mateso moyoni)
Hadithi sitaki
(Hadithi sitaki)
Nataka zeze
(Nataka zeze)
Penzi lako la thamani
(Penzi lako la thamani)
Tanashati, jamani
(Tanashati, jamani)
Usiku silali
(Usiku silali)
Nakupenda Zeze...
(Nakupenda Zeze...)
〈Chorus: T.I.D.〉
Kama wanipenda
(Wanipenda)
Kaninunulie zeze
Nikilala kitandani
(Mmm)
Zeze lanibembeleza
Kama wanipenda
(No, no, no)
Kaninunulie zeze
Nikilala kitandani
(Sema nao)
Zeze lanibembeleza
(Oh, yeah, oh yeah)

〈Verse 2〉
Majungu sitaki
Majungu sitaki
Zeze langu silipati
Zeze langu silipati
Mapepe sipendi
Mapepe sipendi
Mapepe sipendi
Mapepe sipendi
Penzi lako burudani
Penzi lako burudani
Tuwapo kitandani
Tuwapo kitandani
Zeze langu, maanani
Zeze langu, maanani
Zeze langu, maanani...
Zeze langu, maanani...
〈Chorus: T.I.D.〉
Kama wanipenda
(Wanipenda)
Kaninunulie zeze
(Oh, no)
Nikilala kitandani
(Mmm)
Zeze lanibembeleza
(Ooh, yeah)
Kama wanipenda
(No, no, no)
Kaninunulie zeze
(Oh, yeah)
Nikilala kitandani
(Sema nao)
Zeze lanibembeleza
(Oh, yeah, oh yeah)

〈Bridge: T.I.D. & Jay Mo〉
Sitaki, silipati
(Sitaki)
Sipendi
(Oh, yeah)
Sipendi
(Nasema tena, sipendi)
Burudani
(Burudani)
Kitandani
(Oh, yeah)
(Maanani)
Maanani, maanani...
Uh, uh, uh
〈Verse 3: Jay Mo〉
Mpenzi zeze vipi?
Sema basi, 'unanikataa
Mpenzi zeze, 'sema basi, kabla haijawa balaa
Usiniletee mapozi, 'njoo kwa Mwana sanaa
Punguza gozigozi, 'machizi watakushangaa
Kama unanipenda, 'njoo uniimbie 〈larabahi〉
Njoo upige zeze, tucheze, tubaki tuwe high
Wanga, 'wakisema nadhani usiku watalala
Zeze anapigiwa mjanja, zeze hapigiwi fala
Kama unanipenda, 'kaninunulie sio hatari
Kama uko tayari, twende home kujivinjari
Jay Mo na T.I.D.,'ndani ya sauti ya dhahabu
Ni soo, ongeza bidii, wewe kwangu ndio jibu
Jay Mo!

〈Chorus: T.I.D.〉
Kama wanipenda
(Wanipenda)
Kaninunulie zeze
(Oh, no)
Nikilala kitandani
(Mmm)
Zeze lanibembeleza
(Ooh, yeah)
Kama wanipenda
(No, no, no)
Kaninunulie zeze
(Oh, yeah)
Nikilala kitandani
(Sema nao)
Zeze lanibembeleza
(Oh, yeah, oh yeah)

〈Chorus repeat: T.I.D.〉
Kama wanipenda
(Wanipenda)
Kaninunulie zeze
(Oh, no)
Nikilala kitandani
(Mmm)
Zeze lanibembeleza
(Ooh, yeah)
Kama wanipenda
(No, no, no)
Kaninunulie zeze
(Oh, yeah)
Nikilala kitandani
(Sema nao)
Zeze lanibembeleza
(Oh, yeah, oh yeah)

(Instrumentals)
 Edit 
Copy

YouTube

 Edit 

More TID

TID - Watasema Sana | Lyrics
{Verse 1: T.I.D.} Wahenga walinena Chanda chema huvishwa pete Kwa vijembe nikasemwa Ilimradi unitose Si utani, 'una nithamini Uko tayari tufe wote Ka

TID - Bullet | Lyrics
Come put out this fire It’s alive And it’s smoking niggas out I’m in my set I’m in my prime And i’m stamping niggas out Put a bitch on the hit list Cover her

Tid - Aurora Surrealis | Lyrics
{Text till "Aurora Surrealis" av Tid} Dyk I framåtandans vatten Svart, hotfullt hav av hat Hat för allt som blöder Hat för allt som alla redan

TID - Siamini | Lyrics
{Chorus} Oh, siamini Kama tuko wote Kama tuko wote Mimi na wewe Oh, siamini Kama tuko wote Kama tuko wote Mimi na wewe {Verse

TID - Zeze | Lyrics
(Instrumentals) {Chorus: T.I.D.} Kama wanipenda Kaninunulie zeze Nikilala kitandani Zeze lanibembeleza Kama wanipenda Kaninunulie zeze Nikilala

Photo TID

 Edit 

TID - Biography

 Edit