Lyrics

Femi One - Mikiki

0
original text at mamqa.com/ulyricsnew/femi-one-mikiki-1392276
Mikiki mikiki
Mikiki mikiki (Bern Music)
Mikiki mikiki
Mikiki mikiki
Future bright ndo uicheki
Labda udunge digaga za welding
Form zangu hazikuwangi za wengi
Circle ndogo mambo ya mbogi sipendi
Ngumzo na Mungu mambo ya urogi ndo sipendi
Malkia wa wa moto ka khalisi
Mi narun for a long while ka kamisi
Kaka Empire tell me nani kama sisi
Ka mnadhani nyi ndo next siwabishi

Undisputed soldier
Mi hushindana na watu wa ndevu na matoja
Solodolo nyinyi ni masteam zinawachocha
Tukifika bank mi naball nakafunga kama JJ Okocha
I thought I told you am star
Papa hawezi zinguliwa na madagaa
Melanin poping cudburry with the bars
Mapepo zinanicheki zinashout halleluyah OMG
Mikiki mikiki, mikiki mikiki
Mikiki mikiki mi nafanya vitu bigi
Mikiki mikiki, mikiki mikiki
Mikiki mikiki mi nafanya vitu fiti
Mikiki mikiki, mikiki mikiki
Mikiki mikiki mi nafanya vitu bigi
Mikiki mikiki, mikiki mikiki
Mikiki mikiki mi nafanya vitu fiti
Femi the one, Femi the don
Femi the one, Femi the don
Femi the one, Femi the don
Boss lady mi ndo huwakata mshahara
Same level na ma don dada ka Khamala
Bring beef I take big but no wahala
Coz ain't nobody badder in the whole sub sahara
Hell yeah mi nawaonyesha kivumbi
Hi -- experience haifunzwi
Nimetoka ghetto mahali youth akitokwa
Akichochwa akizoza anabadilishwa kichungi
Na makarao wanapenda chai
Boy ako na currency ndo mimi naweza vibe
Mfuko deep ndo mahali pekee mi naweza dai
Bila wave ya kuwrite sidhani watasurvive
Wengi wata drown, wengi wata clown
Wengi wata-frown wakisema nawadharau
Wengi watarudi mashinani out of town
Bado wengi watabow na wanivalishe crown, unno
Mikiki mikiki, mikiki mikiki
Mikiki mikiki mi nafanya vitu bigi
Mikiki mikiki, mikiki mikiki
Mikiki mikiki mi nafanya vitu fiti
Mikiki mikiki, mikiki mikiki
Mikiki mikiki mi nafanya vitu bigi
Mikiki mikiki, mikiki mikiki
Mikiki mikiki mi nafanya vitu fiti
Femi the one, Femi the don
Femi the one, Femi the don
Femi the one, Femi the don
Mikiki mikiki, mikiki mikiki
Mikiki mikiki mi nafanya vitu bigi
Mikiki mikiki, mikiki mikiki
Mikiki mikiki mi nafanya vitu fiti
 Edit 
Copy

YouTube

 Edit 

More Femi One

Femi One - Donjo | Lyrics
Kama huna form chukua mmoja kwa cyber Chukua mmoja kwa cyber Kama huna form chukua mmoja kwa cyber Chukua mmoja kwa cyber (Kaka Empire is the Lifestyle) Kama huna form chukua

Femi One - Kipetero Kiyesu | Lyrics
"Alikuja akanipush akanipush Hadi nikaona acha niende ni- Niget tu ball yake Sa kuget ball ati nimeshakuja Nimemwambia niko na ball Huyo boy nakwambia aliniruka

Femi One - Form Today | Lyrics
Nimetoka mbali na machali na mamanzi Hadi I need my form today And anything demma need Fi mi come unconditionally love today I give my all fi dem Demma write ride fi mi al

Femi One - Lockdown Freestyle | Lyrics
Marapper hushinda wakiskia Kameme ma Sunday Na mi niko studio daily ka Kamene na Andy Wako na energy haitoshi kunikiss 100 Wanatry kubonga mbolea ndio wapande Ila no how, I got

Femi One - Baddest | Lyrics
(Riccobeats Mr 808) Femi One sema hiyo one Uno Femi never dose stress Kama mnasaka queen basi buda don't stress Ufala ndo siskii yani buda mi ndio mos def Yeah uliza UNEP

Femi One - D-Day | Lyrics
Kuna form basi si tufike Tusifike mapema ndio tusipike Sidhani ka nitalala si kesho ni D-Day Ju nikipitwa na fom hakunanga replay Mimi na masela tunacelebrate Sape kwa kibeti

Femi One - Nyokonyoko | Lyrics
Ero unanisoma ju nina rungu ya jamii Hapo si unajua nakuchorea mami Hakuna haja ya cancer hapa moshi ni manduku Tupu nazitoka bana za athuthu Si hapo ukinitoka

Femi One - Hiyo One | Lyrics
Femi, Femi, Femi One Uno, Uno, Uno, Uno Hakuna mkate ngumu mbele ya chai Akili ni nywele zangu nilipaka dye More wananidai, Femi super duper fly Game iko A, X anaregret

Femi One - Okay | Lyrics
Verse 1 Usipunguze Joto wacha moto ifanye kazi Shuguli ka imejipa piga Pamba pasi Rende kwa Senke ni mwendo kasi Ukipatikana rong side blanda basi Panga inapapasaa

Femi One - STAKI | Lyrics
{Intro} (Kaka Empire, is the lifestyle) Yeah Femi Uno Haah, yoh! {Chorus: Domani Mkadinali, Femi One, Both} Hii clique ni ya wanati (skrr

Photo Femi One

 Edit 
Femi One

Femi One - Biography

 Edit