Lyrics

Femi One - Kipetero Kiyesu

0
original text at mamqa.com/ulyricsnew/femi-one-kipetero-kiyesu-1392281
"Alikuja akanipush akanipush
Hadi nikaona acha niende ni-
Niget tu ball yake
Sa kuget ball ati nimeshakuja
Nimemwambia niko na ball
Huyo boy nakwambia aliniruka
Kipetero Kiyesu"
Chali ngori anadai wachana na party cup
Told me that nitakaa supuu with a baby girl
So nikajipa na mimba akanipachika
Kisha akanituka Kipetero Kiyesu
Sa nikipiga namba mteja hapatikani
Utadhani high jump na yeye olympian
Nikiwa napanga kumuonyesha kwetu
Aliniruka tu kipetero Kiyesu

Naishi pale Kasa na hawa mapacha
5 years bila the dad na sijamhata
Wakivunja kitu niulize nani anachapwa
Wanarukana tu kipetero kiyesu
Refa (Referee) Refa (Ona referee)
Ona vile tunachezwa, vile tunabebwa
Refa (Referee) Rеfa (Ona referee)
Ona vile tunachеzwa, kipetero kiyesu
Wakaapa wakishapata mamlaka
Mahitaji wananchi watapata
Waliposhinda ni scandal juu ya sakata
Ruka mwananchi kipetero kiyesu
Waliungana ati hiki chama chetu
Ndio tutatumia kujenga taifa letu
Lakini siasa si watu nyemelea tu
Kisha kurukana kipetero kiyesu
Wakirudi huku tena piga debe
Tunawapea mizigo zote wabebe
Watazilipa hata madeni kwa pede
Kwa ballot twarukwa kipetero kiyesu
Refa (Referee) Refa (Ona referee)
Ona vile tunachezwa, vile tunabebwa
Refa (Referee) Refa (Ona referee)
Ona vile tunachezwa, kipetero kiyesu
Athletes hujidai wazalendo
Kataa kuchange citizenship kuget doh
Lakini juu ya hii siasa na magendo
Wanatokwa tu kipetero kiyesu
Wasanii wanamake ngoma na bidii
Toka manewcomer mpaka wenye jina biggy
Ngoma ikiblow unadhani pesa ni mingi
MCSK ni ka Petero kwa Yesu
Mcees hutaka collabo na picha
Wanabatizwa wanaoshwa wanafichwa
Wakiambiwa Femi One alikuzika
Wanakanaga tu kipetero kiyesu
Refa (Referee) Refa (Ona referee)
Ona vile tunachezwa, vile tunabebwa
Refa (Referee) Refa (Ona referee)
Ona vile tunachezwa, kipetero kiyesu
Refa (Referee) Refa (Ona referee)
Ona vile tunachezwa, vile tunabebwa
Refa (Referee) Refa (Ona referee)
Ona vile tunachezwa, kipetero kiyesu
I'm in trouble, I'm in trouble
Beth rack on the door
 Edit 
Copy

YouTube

 Edit 

More Femi One

Femi One - Okay | Lyrics
Verse 1 Usipunguze Joto wacha moto ifanye kazi Shuguli ka imejipa piga Pamba pasi Rende kwa Senke ni mwendo kasi Ukipatikana rong side blanda basi Panga inapapasaa

Femi One - Hiyo One | Lyrics
Femi, Femi, Femi One Uno, Uno, Uno, Uno Hakuna mkate ngumu mbele ya chai Akili ni nywele zangu nilipaka dye More wananidai, Femi super duper fly Game iko A, X anaregret

Femi One - Nyokonyoko | Lyrics
Ero unanisoma ju nina rungu ya jamii Hapo si unajua nakuchorea mami Hakuna haja ya cancer hapa moshi ni manduku Tupu nazitoka bana za athuthu Si hapo ukinitoka

Femi One - D-Day | Lyrics
Kuna form basi si tufike Tusifike mapema ndio tusipike Sidhani ka nitalala si kesho ni D-Day Ju nikipitwa na fom hakunanga replay Mimi na masela tunacelebrate Sape kwa kibeti

Femi One - Baddest | Lyrics
(Riccobeats Mr 808) Femi One sema hiyo one Uno Femi never dose stress Kama mnasaka queen basi buda don't stress Ufala ndo siskii yani buda mi ndio mos def Yeah uliza UNEP

Femi One - Lockdown Freestyle | Lyrics
Marapper hushinda wakiskia Kameme ma Sunday Na mi niko studio daily ka Kamene na Andy Wako na energy haitoshi kunikiss 100 Wanatry kubonga mbolea ndio wapande Ila no how, I got

Femi One - Form Today | Lyrics
Nimetoka mbali na machali na mamanzi Hadi I need my form today And anything demma need Fi mi come unconditionally love today I give my all fi dem Demma write ride fi mi al

Femi One - Kipetero Kiyesu | Lyrics
"Alikuja akanipush akanipush Hadi nikaona acha niende ni- Niget tu ball yake Sa kuget ball ati nimeshakuja Nimemwambia niko na ball Huyo boy nakwambia aliniruka

Femi One - Donjo | Lyrics
Kama huna form chukua mmoja kwa cyber Chukua mmoja kwa cyber Kama huna form chukua mmoja kwa cyber Chukua mmoja kwa cyber (Kaka Empire is the Lifestyle) Kama huna form chukua

Femi One - Mikiki | Lyrics
Mikiki mikiki Mikiki mikiki (Bern Music) Mikiki mikiki Mikiki mikiki Future bright ndo uicheki Labda udunge digaga za welding Form zangu hazikuwangi za wengi Circle

Photo Femi One

 Edit 
Femi One

Femi One - Biography

 Edit